JWTZ ITAHAKIKI UPYA HATUA ZOTE ZA UTARATIBU WA VIJANA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA MWAKA HUU 2019 from mwaka huu Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
⏲ Duration: 13 min 15 sec ✓ Published: 28-Jun-2019
Description: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa.nnMkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence Ilonda amebainisha kwamba katika uandikishaji wa vijana kwa nafasi zilizotolewa mwaka huu, kuna wimbi la vijana kuhama kutoka mikoa mbalimbali kwenda mikoa mingine kwenda kut